Vivumishi vya kumiliki

Mifano
  • Nyumba yangu imebomoka
  • Mtoto wetu amepotea
  • Mtoto wenu amepotea
  • Mtoto wao amepotea

*Maneno kama -ake, -ako, -angu, -ao na -etu huitwa pia vivumishi vimilikish.

Vivumishi vya kumiliki ni maneno yanayotoa taarifa ya kujulisha umiliki wa nomino. Maneno hayo hujulisha kuwa nomino hiyo iliyotajwa ni mali ya nani.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne